Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
38' Mins kona kuelekea azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sharubu atashinda leo hao uliowataja wote wazee wa Tigo Pesa
nani yupo live uwanjani ?
Inaonekana mlikuwa mnawatumia sana kwa Tigo Pesa wakati wanaichezea Simba.
Angalia historia na kafungue makabrasha ya TFF utajua timu iliyopigwa faini kwa kosa hilo Plus na Uchawi
Watu weraaaaaaaa
Dk 47 Ngoma anaipatia Yanga goli la kuongoza
Na mpira ni HT
Yanga 1 - 0 Azam
Mimi nimeandika kwa sababu ulisema ni wazee wa Tigo pesa, kwa hiyo logically hata walipokuwa Simba walikuwa ni wazee wa Tigo pesa, vinginevyo ukanushe kwamba si wazee wa Tigo pesa na ikitokea wamefungwa watakuwa wamefungwa kimchezo.
Kuna kila dalili azam akatuotea leo