Vipi updates wakuu
Kwa nini isiwe kina Dalali...
Wazee wa Msimbazi fitna zao siku zote ni Yanga aumie...
Azam Changes | Michael Balou OUT Frank Domayo IN
Duh!domayo kumbe bado anacheza mpira!nilishamsahau!
Dalali na mzee Akilimali au mzee Mzimba ukikutana nao njiani huwajui ukaambiwa uchague anayefanana na hayo mambo ya njiwa utamchagua nani? Sema kabisa kutoka moyoni mwako hata mtu akikuuliza mara mbili mbili useme naam huyu anafanana na mambo ya njiwa.
Hahah wote wale wale tu kaka...