VPL: Super Saturday 17/10/2015

VPL: Super Saturday 17/10/2015

Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa...

Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi...

Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba...

Mkuu ndo maana nikakutajia anayetoka nao sare kwa upande wa Simba.
 
Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa...

Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi...

Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba...

Kocha msaidizi wa mikia na abdi banda wakiroga mchana kweupe mikia walipocheza african sports tanga!
 
Attachments

  • 1445093634500.jpg
    1445093634500.jpg
    26.3 KB · Views: 514
Dk 90 zimemalizika na zimeongezwa dk 4 na sasa ni dk 93

Yanga 1 - 1 Azam
 
Aishi Manula yupo chini...

Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa...

Mpiraaaaa umekwisha

Yanga 1 - 1 Azam

Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao...
 
Tumepoteza game ,point 3 zilikuwa zetu
 
Aishi Manula yupo chini...

Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa...

Mpiraaaaa umekwisha

Yanga 1 - 1 Azam

Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao...

Hahaha..
 
Simba iko vizuri mwaka huu - ukilinganisha na droo 9 mfululizo za mwaka jana.
 
Back
Top Bottom