Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa...
Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi...
Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba...
Mkuu ndo maana nikakutajia anayetoka nao sare kwa upande wa Simba.