VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

Hii ni laana, si kawaida!

Amelaaniwa yule amuitaye mwenzake muasherati wakati hapa tunaongelea soka. Unajifunza matusi ukubwani bwana mdogo Makoye Matale, kashtaki tena kwa vidume vyako.

Unadhani tunatanua mijini kwa kushtakiana kwa adm? Mwanaume unakuwa na tabia za kitoto, Shame on you!
 
Last edited by a moderator:
Wewe siyo mwanamichezo.

CC. bujashi25: Achana naye.

Mwanamichezo ni wewe Msabato masalia unayeita wenzako waasherati. Mimi mwasherati nimekuuliza swali kumshughulikia Mgambo bao 4 zimekuuma ulitaka nikushughulikie wewe kila siku tu.
 
Last edited by a moderator:
Simba imepotea mwaka huu. Inabidi ijipange upya mwakani kwa kufanya usajili wa maana. Kina Seru wameigharimu timu
 
Nijibu tu yanini kujificha nyuma ya mgongo wa mwenzako. Huwa ni mstaarabu kwa wanamichezo lakini kwa yule asiyetambua utu wa wenzie huyo sintomuachia.

Ukitaka soka la uwanjani bila kununua marefa nitakuchapa kila mwaka mpaka mimi nichoke mwenyewe. Ukinunua marefa utashinda mechi zote kasoro yangu mimi na wewe.

Ukichukua ubingwa wa mezani matokeo tutayaona Kimataifa hufiki mbali labda wakupange na timu za makhirkhir au diamond platnumz tu.
 

Michezo ni amani michezo ni upendo. grafani11 hamia yanga mkuu hiyo sumu ya chuki na maneno ya shombo itatakatishwa na furaha, amani na upendo toka ktk timu pendwa timu ya wananchi wa tanzania mabingwa watarajiwa.
 
Last edited by a moderator:
NDONDO CUP ARUSHA - Michezo yote itapigwa siku ya ijumaa kwa mfumo wa bonanza na nusu fainali itakuwa siku ya jumamosi wakati mchezo ya fainali utapigwa siku ya jumapili.

Michuano hii itafanyika katika uwanja wa AICC uliopo karibu na round about ya KIJENGE. muda ni kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 12 jioni.

Katika michuano hii kutakuwa pia na burudani toka kwa bingwa wa kucheza na baiskeli dunia (BMX CHAMPION) VICK GOMEZ, pamoja na wasanii wa Bongo flava akiwemo G NAKO, CHABA, KINGS, na mchekeshaji KATARINA.

Imetolewa na Akida Kilango – Mratibu wa Mashindano

HIVI MIKIA HAIJAALIKWA KWELI ?
 
Michezo ni amani michezo ni upendo. grafani11 hamia yanga mkuu hiyo sumu ya chuki na maneno ya shombo itatakatishwa na furaha, amani na upendo toka ktk timu pendwa timu ya wananchi wa tanzania mabingwa watarajiwa.

Siwezi kushiriki dhambi ya ununuzi wa mechi kwa mamilioni ya hela ili tu nipate sifa ya ubingwa wa milioni 70 wakati nimetumia milioni zaidi ya 200, ikiwa ni jumla ya gharama ya kuihudumia timu na kuhonga marefa, makipa wa Mbeya City nk....

Tanzania Bara imekosa Mwakilishi Madhubuti kwa miaka 2 sasa kwenye michuano ya Afrika kwa sababu ya watu kutumia nguvu ya pesa kuchukua nafasi za ushiriki. Tunayashuhudia hayo
 
Last edited by a moderator:

Duh!Makubwa haya.Hivi mnavyoongeaga hivi huwa mnafikiria au just mtu unaropoka tu!Watu wanajudge IQ ya mtu kwa uwezo wake wa kupangilia mambo na kuongea points zake.Fahamu unachopost hapa kinaenda public so epuka kuwafanya watu wakudefine negatively.
 
Hivi YM mtamuongezea tena muda wa kukaa madarakani? Apumzike bana tupate wawakilishi madhubuti wa michuano ya Afrika. Timu inahonga halafu huko CAF inashindwa kusonga mbele
 
Yanga haijawahi Kuwa na kashfa ya kununua mechi
 
Hivi YM mtamuongezea tena muda wa kukaa madarakani? Apumzike bana tupate wawakilishi madhubuti wa michuano ya Afrika. Timu inahonga halafu huko CAF inashindwa kusonga mbele

Wale makabwela wapanga foleni asubuhi kupata kibaba cha unga nguvu ya kumtoa gabachori wataitoa wapi wakati gabachori kasema hatoki mpaka atakaporudisha bao 5 za kidume chao.

Amesema hakuna mkutano mkuu wala uchaguzi mkuu mpaka malengo yake binafsi yatimie.
 
Ukiwa na mke/mpenzi wako ambaye unamtosheleza kwa kila kitu mpaka chumbani lazima aone wivu siku atakapokufumania na mwanamke mwingine tena ukigawa kipigo zaidi ya kile ulichompa yeye mara ya mwisho.

Okwi ndugu yangu mkeo kaleta mashtaka punguza michepuko, mkeo unampa kimoja wakati nje unatoa vitatu. Kwanini?
 
Mkuu nimeuliza swali hapo, uchaguzi wa Yanga FC upo mwaka huu au jamaa anaongezewa mwaka mwingine ili akamilishe lengo la kujenga Jangwani Complex na kurudisha 5-0?

Yanga ni mali ya manji kuondoka ni mpaka yeye mwenyewe atake kufanya hivyo.
Ni ajabu yeboyebo kuitwa timu ya wananchi wakati ni koloni la magabachori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…