VPL tarehe 18/11/2017: Tanzania Prisons 0 Vs 1 Simba Sports Club uwanja wa Sokoine, Mbeya

26 ' Mohamed Rashid goal laaaa. Kona kuelekea upande wa Simba SC

Inapigwa kona ambayo haikuzaa matunda
 
28 ' Simba SC inapata kona.. Goal laaaa nje
 
30 ' ni inapigwa adhabu kuelekea Simba SC
 
33 ' la laaaa nje Simba wanakosa goli la wazi hapa baada ya kutokea piga nikupige
 
43' Tanzania Prisons 0 - 0 Simba SC
 
Pambano ni gumu hapa kuelekea kukamilika 45' za kwanza
 
Kichuyaaaaa la la la la goal kick
 
45' Mpepoooooooo anakosa goal la wazi hapa. Ni hatari sana
 
45' Naam mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Sokoine ambapo mpaka sasa hakuna timu imepata bao. Tanzania Prisons 0 - 0 Simba SC
 
Timu zinaingia uwanjani kumalizia 45 ' za mwisho ambapo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa zamu. Tanzania Prisons wakikosa umakini kwenye lango la mpinzani hadi upande wa Simba SC ni hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…