Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itapendeza John Boko
Dah!Kwa usajili wa Simba na mpira wanaocheza ni timu ya kawaida mno. Simba ikija fungwa hata mechi moja tu .... watatibuana balaa na ndio utakuwa ndio msimu wa nafasi ya tatu au ya nne.
Unasubiri embe chini ya mnazi?Kwa usajili wa Simba na mpira wanaocheza ni timu ya kawaida mno. Simba ikija fungwa hata mechi moja tu .... watatibuana balaa na ndio utakuwa ndio msimu wa nafasi ya tatu au ya nne.
Unasubiri embe chini ya mnazi?
Kama nakuona ulipo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mikia Leo inatoa sare hukooo.......Sumba hamnaga ujanja mbele ya prisons
Habari yako Mkuu?Mikia Leo inatoa sare hukooo.......Sumba hamnaga ujanja mbele ya prisons
Wa kimataifa.Nani kanuna eti