VPL tarehe 18/11/2017: Tanzania Prisons 0 Vs 1 Simba Sports Club uwanja wa Sokoine, Mbeya

VPL tarehe 18/11/2017: Tanzania Prisons 0 Vs 1 Simba Sports Club uwanja wa Sokoine, Mbeya

🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😉😉🙂😉
 
Sasa walilinde hilo goli tena......

33217f97f2fddd5460432b2d9624ba81.jpg
 
asante sana simba vyura watakuja na maneno yao mara ooh offside!
 
Kwa usajili wa Simba na mpira wanaocheza ni timu ya kawaida mno. Simba ikija fungwa hata mechi moja tu .... watatibuana balaa na ndio utakuwa ndio msimu wa nafasi ya tatu au ya nne.
Dah!
Unakipaji kikubwa sana kutoka kaunda 'stediyumu'
 
93 'Naam mpira umekwisha hapa uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kati ya Tanzania Prisons na Simba SC Matokeo ni kwamba Simba SC imeibuka na ushindi wa goli moja bila majibu likiwekwa kambani na John Bocco 84'

Ulikuwa na Ghazwat mwanzo wa mchezo hadi mwisho. Asante sana Mungu Awabariki
 
Back
Top Bottom