VPL tarehe 18/11/2017: Tanzania Prisons 0 Vs 1 Simba Sports Club uwanja wa Sokoine, Mbeya

1' mpira umeanza kipindi cha pili na hakuna mabadiliko kwa wachezaji pande zote mbili
 
Anakwenda hapaaaa Kassim Hamisi, lakini anatokea golikipa Aishi Manula na kukamata mpira
 
Mohamed Rashid goal laaaa.. Pambano ni kali kwa kweli 53'
 
56 ' anakwenda Salum kimenya kupiga kona..... gooal laa laa nje
 
Kichuya anasukumwa na inakuwa ni madhambi kuelekea Tanzania Prisons
 
61' mabadiliko upande wa Simba, Mohamed MO anaingia Haruna Niyonzima anakwenda bechi
 
Pambano ni gumu hapa kwa timu zote. Tanzania Prisons 0-0 Simba SC
 
66 'Mabadiliko kwa upande wa Simba. Anatoka Kazimoto anaingia Mavugo
 
72 ' MO anaangushwa si mbali sana la lango.. Inakuwa ni faulo

Anapigaaaaa Nyoniiiii la la nje
 
Mikia Leo inatoa sare hukooo.......Sumba hamnaga ujanja mbele ya prisons
 
78 ' Mzamiru Yassir anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Ally Shomari upande wa Simba
 
Eliuter anakwendaaaaaaa la golikipa Aishi Manula anatokea na kukamata mpira
 
Kwa usajili wa Simba na mpira wanaocheza ni timu ya kawaida mno. Simba ikija fungwa hata mechi moja tu .... watatibuana balaa na ndio utakuwa ndio msimu wa nafasi ya tatu au ya nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…