Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 846
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa kimataifa.
Hawawezi kuja kabisacc Sibonike Makoye Matale na ndugu zao
Nyanda za juu kusini bado wana point zetu sita, lipuli na Njombe mji. Ni mwendo wa kubeba kila kitu.93 'Naam mpira umekwisha hapa uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kati ya Tanzania Prisons na Simba SC Matokeo ni kwamba Simba SC imeibuka na ushindi wa goli moja bila majibu
Mambo vipi kijana, kama nakuona ulivyonuna!Simba afungwe hata mbili tu zinatosha
Mkuu vimajukumu vya hapa na pale viliniweka mbali na Jukwaa.
Safi sana , point tatu muhimu93 'Naam mpira umekwisha hapa uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kati ya Tanzania Prisons na Simba SC Matokeo ni kwamba Simba SC imeibuka na ushindi wa goli moja bila majibu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hawawezi kuja kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hawawezi kuja kabisa
Mkuu nimekumiss ujue lakini duwa lako halijatimiaSimba afungwe hata mbili tu zinatosha
Kumbe walikuwa wanalinda hiyo duara aka sifuri.Sasa walilinde hilo goli tena......
Naogopa usibebwe na wasiojulikanaMkuu vimajukumu vya hapa na pale viliniweka mbali na Jukwaa.