OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kesho ushindi wako ni draw,Leo mmetakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho ushindi wako ni draw,Leo mmetakata
Hahahaha asante mkuu ila ipo siku mtajikwaa tuMkuu nimekumiss ujue lakini duwa lako halijatimia
Mkuu.. Huu mwendo ni mpaka tunachukua ubingwa.Leo mmetakata
Kuwa na subra Mkuu. Hamkawii kukata pumzi mwishoni pale. Wakati huo wengine ndiyo moto unawakaMkuu.. Huu mwendo ni mpaka tunachukua ubingwa.
Labda. Tusubiri mwisho wa msimu.Safari hii usitegemee hayo. Hakuna zilipendwa tena
Mkuu Sibonike.. Kwenye mchezo huu wa mpira kuna changamoto nyingi, lakini safari hii Simba amejipanga kukabiliana nazo, ndo maana nyanda za juu tunajitahidi kubeba pointi zote. Lengo ni ubingwa tuLabda. Tusubiri mwisho wa msimu.