VPL: Yanga vs African Lion tarehe 23. 12. 2016: tupia update humu

VPL: Yanga vs African Lion tarehe 23. 12. 2016: tupia update humu

Ndio utajua wenye kidomodomo ni akina nani.Sasa hivi wamekimbilia kwenye jukwaa la celebrities.
 
1482516538319.jpg
 
Hawa jamaa isipocheza pesa wanauhakika wa kuifunga timu moja tu-Toto!Magazeti yote leo utasikia African Lyon yakwama kwa Yanga!Yanga kiboko,yailazimisha Africa Lyon sare!Mara oh!Wachezaji wa Yanga ni mwiba kama wangepata mshahara mapema,ingekuwa kiama!
 
Makomandoo wa Yanga jana baada ya mechi wamempa kibano Nadir Canavaro na Msuva wakituhumiwa kuongoza migomo.
 
Sisi Vyura FC bila kuhonga hatuwezi kuishinda hata Timu ya Bunge

Jana tulikuwa tunarukaruka tu uwanjani...!
 
Nasikia Yanga wamekata rufaa. Haiwezekani refa aitwe Ludovick na mfungaji wa African Lyon aitwe Ludovick. Wanadai ni njama za TFF. Tungojee hatma ya rufaa yao. Sijui wametumia kanuni gani kwani ni mabingwa wa kanuni.
 
Back
Top Bottom