VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Simba msiwe mnaikomalia tu YANGA zikomalie na timu nyingine ili angalau muweze kusogea hata nafasi ya pili.
msimu mzima wahapahapa(mkia) huwa wanajiandaaga kwa mechi moja tu ya wazee wa-dozi(yanga)
 
Manji akijiongezea muda wa uongozi,wanachama wengi walipinga,yeye aliwaahidi ubingwa kwa namna yeyote,mechi nyingi walizoshinda Manji alinunua Ili tu kuwafanya wanachama/washabiki wafurahi..mpira wa nchi hii hauwezi kusonga mbele Kama Kuna watu wanapata matokeo nje wa uwanja...

unafaham kabisa simba wapo hovyo ambao wangeleta upinzani taja timu ambayo ingeleta upinzan kwa yanga angalau simba ingekuwa vizur kungekuwa na timu tatu zingegawana point ubingwa ungekuwa mgumu sasa unaleta habar za kusadikika mfumaj bana.
 
Back
Top Bottom