lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Ubingwa tunakabidhiwa lini?
hata sikumbuki maana nilikuwa mdogo sanaNaomba nikumbushwe mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa ni lini.....?
msimu mzima wahapahapa(mkia) huwa wanajiandaaga kwa mechi moja tu ya wazee wa-dozi(yanga)Simba msiwe mnaikomalia tu YANGA zikomalie na timu nyingine ili angalau muweze kusogea hata nafasi ya pili.
Ndoto za Alinacha, Simba akipata nafasi ya pili nitaomba mods wanipe ban ya mwez 1.........
Manji akijiongezea muda wa uongozi,wanachama wengi walipinga,yeye aliwaahidi ubingwa kwa namna yeyote,mechi nyingi walizoshinda Manji alinunua Ili tu kuwafanya wanachama/washabiki wafurahi..mpira wa nchi hii hauwezi kusonga mbele Kama Kuna watu wanapata matokeo nje wa uwanja...
msimu mzima wahapahapa(mkia) huwa wanajiandaaga kwa mechi moja tu ya wazee wa-dozi(yanga)
Ìzi hela anazotumia Manji kununua mechi itazirudishaje?
Simba hizo nafasi kanizoea hebu tujikumbushe