VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

Ila hata wewe Mkuu naona unacheza na historia, kwa kusema Mnyama ni mzuri sana anapocheza mechi za mtoano, kama FA Cup.. naona umesahau kabisa kuwa Simba hii ya sasa ni ya Ulaya.

Mkuu sembo acha kudesa.
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya Vpl katika viwanja mbalimbali leo tar. 16/09/2015.

Yanga 3-0 Prisons

Jkt Mgambo 0-2 Simba

Maji maji 1-0 Kagera suger

Mbeya city 3-0 Ruvu star

Stand United 0-2 Azam fc

Toto Africans 1-2 Mtibwa suger

Ndanda 1-0 Coast Union

Sijapata matokeo ya Mwadui dhidi ya African Sports.
 

Asante sana Mkuuu mkolaj, mechi ya Mwadui kwa mujibu wa TFF imechezwa leo na matokeo ni:

Mwadui 2-0 African Sports.
 
Last edited by a moderator:
Ndanda je?

Young Africans 3 0 Tanzania Prisons
Mgambo JKT 0 2 Simba SC
Majimaji 1 0 Kagera Sugar
Mbeya City 3 0 JKT Ruvu
Stand United 0 2 Azam FC
Toto Africans 1 2 Mtibwa Sugar
Ndanda FC 1 0 Coastal Union
Mwadui FC 2 0 African Sports
 
Nenda page 1 post ya kwich kwich utaona list.

Makoye matale me NAIPENDA YANGA,nawasubiri wachawi waliopangiwa game 3 z mwisho dar niwafundishe soka,hapa bartez pale twite hapa mwinyi kule canavaro ndan yondan nje kamusoko uku msuva pale niyonzima uku tambwe hapa ngoma kule ni kaseke/mwashiuya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…