VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

Yanga dume, Yanga baba yao, Yanga Mume wao, Yanga jana leo na sikuzote

Ni zamu ya JKT Ruvu kuchukua kichapo chake Jumamosi hii wakati Simba akikutana na Kagera Sugar, mechi zote zitachezwa TAIFA.
 
Chama la wana limekuwaje mwaka huu Mkuu Ghiti Milimo?

Tunashindwa kuelewa! Kwa sasa hawana shida kama msimu uliopita,ambao tulikuwa tunaichangia fedha!
Hata hamasa ya washabiki ilishapungua baada ya Mbunge wa hapa mjini KUITEKA NYARA,na kuifanya kama timu ya CHAMA CHETU!
 
Last edited by a moderator:
Mpinzani wa kweli ni Azam FC, Simba SC ni wazuri sana kwenye mechi za mtoano kama FA Cup lakini si wazuri kwenye mashindano ya ligi.

Naomba 26/09/2015 mda kama huu.. uirudie tena hii kauli yako.
 
Tunashindwa kuelewa! Kwa sasa hawana shida kama msimu uliopita,ambao tulikuwa tunaichangia fedha!
Hata hamasa ya washabiki ilishapungua baada ya Mbunge wa hapa mjini KUITEKA NYARA,na kuifanya kama timu ya CHAMA CHETU!

Haya ni majanga sasa.
 
Usijalu Mkuu, tatizo lako unacheza na historia.

Ila hata wewe Mkuu naona unacheza na historia, kwa kusema Mnyama ni mzuri sana anapocheza mechi za mtoano, kama FA Cup.. naona umesahau kabisa kuwa Simba hii ya sasa ni ya Ulaya.
 
Back
Top Bottom