libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
huyu Majabvi inaelekea anajielewa.....
Kesho wataanza kumpamba kwenye magazeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu Majabvi inaelekea anajielewa.....
dah afadhali na sisi angalau tunaanza kuonja onja ushindi,, sio kila siku kandambili tu
Mjihadhari na ule ugonjwa wa kuchomolewa.
Mkuu saa hizi angalau tim ina pumzi nadhani ugonjwa wa kuchomoa mwaka huu utapungua kama sio kuisha.
Jitahidini kushinda mechi za nyumbani. Huko mikoani uzalendo umeshamiri ..
asante mkuu.......naomba sana ili bao lidumu au tuongezee zaidi tukate mzizi wa kukosa ushindi Tanga
Kuna uzi wetu, twendeni tusaidiane kuujaza.
Kaseke OUT, Telela IN.