VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

biashara ni asubuhi........kwa hilo Yanga ninawapongeza, hizi timu zisipo adabishwa mapema huko mbeleni inakuwa ni SHIDA.

Simba kazeni buti huko Tanga mrudi na pointi zote 6 au 9 ambazo ni muhimu sana kwetu sisi wadau.
 
Pamoja sana Mkuu.

Simba wanastahili kushinda, tatizo lao hawana Plan B ya kupata bao, hiyo plan wakiipata mikia mtakenua muda wowote.
 
dah afadhali na sisi angalau tunaanza kuonja onja ushindi,, sio kila siku kandambili tu
 
Back
Top Bottom