Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #21
[emoji35]Goooo Yanga[emoji123]
Shee vipi tena?[emoji35]
Ndio maana nakupendaga ujue?Goooo Yanga[emoji123]
Yaani acha kabisa, nimeamua kutokuendelea kuangalia, nimeumia tulivyowakosa kosa.WanaYanga wala hatuna presha kabisa kwenye mechi kama hizi..tumewakosa kosa sana Jkt ruvu tunawafunga 3 - 0.
Mama la yanga nakuona[emoji12]Namna gani Yanga? Aaaarrrggggg
Tumekosakosa magoli matatu hapa.
Damn!
2-0 mkuuDah mpaka saiv bdo moja tu hawa jamaa wamekaza kwel kwel