VPL : Yanga yakwaa kileleni kwa kuifumua JKT Ruvu goli tatu bila majibu

VPL : Yanga yakwaa kileleni kwa kuifumua JKT Ruvu goli tatu bila majibu

Zamu ya yanga.....kesho simba wanadroo....wamakonde hawataki kuhongwa wana hela za korosho.
 
sembo ratiba niliyonayo inaonyesha simba mnacheza leo. Imekuwaje game imesogezwa kesho. Ebu nijuze mtani
Mtani siunajua Bodi ya Ligi kila kukicha wanabadili ratiba.. kesho Mnyama ndio ataunguruma Nagwanda Sijaona.. Ila hongereni kwa kukaa kileleni kwa muda.
 
Mtani siunajua Bodi ya Ligi kila kukicha wanabadili ratiba.. kesho Mnyama ndio ataunguruma Nagwanda Sijaona.. Ila hongereni kwa kukaa kileleni kwa muda.
Hapa hatushushwi yule mgiriki alikuwa analalama mpira unachezwa nje ya uwanja kesho ataona mpira unavyo chezwa ndani ya uwanja
 
Sasa hivi goli la 3-0 mama.
Uwiiiiiiii niko happy kinomaaaaaa
Kama kawaida tumerudi kwenye nafasi yetu tulokuwa tumewahurumia akina naniliu angalau wajipoze nayo kwa muda, sasa hakuna kushukua tena.

Ngoja nikamtanie mtu, leo halali.
 
Oyooooooo kesho Simba wakipoteza nitaserebuka hatariiii.
Tuwaombee mabaya watani wetu,Amen [emoji12]
Kwakweli na washindwe, wapigwe 5 bila kabisa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mnakaa kwa muda tu hapo tena kwa masaa ...hio nafas sio yenu.
 
Back
Top Bottom