Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani siunajua Bodi ya Ligi kila kukicha wanabadili ratiba.. kesho Mnyama ndio ataunguruma Nagwanda Sijaona.. Ila hongereni kwa kukaa kileleni kwa muda.sembo ratiba niliyonayo inaonyesha simba mnacheza leo. Imekuwaje game imesogezwa kesho. Ebu nijuze mtani
Haaaaa haaaaa mm nawaza hii mechi ya Yanga na MpesaMkuu unawaza jambo moja tu?
Kesho simba itafungwa?!unaongea kama na ni?Zamu ya yanga.....kesho simba wanadroo....wamakonde hawataki kuhongwa wana hela za korosho.
Uwe unasoma maandishi.....wapi kuna neno "kufungwa"?Kesho simba itafungwa?!unaongea kama na ni?
Hapa hatushushwi yule mgiriki alikuwa analalama mpira unachezwa nje ya uwanja kesho ataona mpira unavyo chezwa ndani ya uwanjaMtani siunajua Bodi ya Ligi kila kukicha wanabadili ratiba.. kesho Mnyama ndio ataunguruma Nagwanda Sijaona.. Ila hongereni kwa kukaa kileleni kwa muda.
Kwa Simba droo ni sawa kufungwa!Uwe unasoma maandishi.....wapi kuna neno "kufungwa"?
Endelea kusema ameisha sasa.Msuva kaisha, yanga bado hamjagundua?!!!!!!??
Kama kawaida tumerudi kwenye nafasi yetu tulokuwa tumewahurumia akina naniliu angalau wajipoze nayo kwa muda, sasa hakuna kushukua tena.Sasa hivi goli la 3-0 mama.
Uwiiiiiiii niko happy kinomaaaaaa
Kwakweli na washindwe, wapigwe 5 bila kabisa.Oyooooooo kesho Simba wakipoteza nitaserebuka hatariiii.
Tuwaombee mabaya watani wetu,Amen [emoji12]
[emoji109] [emoji109] Aiseee kweli nimekuaminia, utabiri umetimia, kunywa kijoti kwa gharama zako[emoji12] [emoji12]-Nilichokitabiri nimepatia 100% mkuu
Usipoangalia unaweza ukaniita mchawi au mganga wa kienyeji[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AMEN.Ewe mwenyezi mungu ulojaa rehema tele endelea kutuweka kwenye hii nafasi yetu tuliyoizoea na wale waliokua wamejiibia hii nafasi yetu ukawashushe kwa aibu kuu iliotukuka hapo kesho.Amen
Msuva kaisha[emoji24] [emoji24] [emoji24] itabid tuwauzie tu simba maan amna namn....au sio lihakangaMsuva kaisha, yanga bado hamjagundua?!!!!!!??
Vp mdada tayari umesha acha kazi?Umeona eeh?
nifahKinomanoma.Kabla ligi haijaisha round hii ya pili itabidi niende Taifa nikacheki vitu vyake live.
Nasisitiza kuwa Msuva hana jipya.