KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
WanaJF wote nawapa heshima.
Mimi ninaye kijana wangu ni fundi mzuri sana wa tv satellite dish such as pay and free to air na mwenye akili nyepesi sana katika kujifunza Hivyo anahitaji kupanua wigo wake kwa kufahamu ufungaji wa madish ya internet ya VSAT hivyo kwa hapa Tz vyuo vinapatikana wapi? Nisaidieni