Vsat dish

Vsat dish

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
WanaJF wote nawapa heshima.
Mimi ninaye kijana wangu ni fundi mzuri sana wa tv satellite dish such as pay and free to air na mwenye akili nyepesi sana katika kujifunza Hivyo anahitaji kupanua wigo wake kwa kufahamu ufungaji wa madish ya internet ya VSAT hivyo kwa hapa Tz vyuo vinapatikana wapi? Nisaidieni
 
Kiwango chake cha elimu ni kipi?
 
Vsat dish installation yake ni sawa na hizo za TV anazofunga kwa watu.Isipokuwa zenyewe zinatoa digital siginal zinazopokelewa na terminal yake na kutoa siginal zinazoenda mojakwa moja katika network hub,PC au server.Muhimu awe na satellite finder bas other settings unupewa na yule unayetaka kuconect nae.
 
Ni chuo gani kinachotoa mafunzo hayo? Kwa hapa nchini
 
Back
Top Bottom