Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

Watu kama nyinyi mnaochochea kulipasua taifa kwa misingi uzanzibari na utanganyika,udini..mnapaswa kuuawa Ili taifa litakasike,mmefurutu ada
 
 
Hii ndiyo mindset inayojitokeza kwa baadhi ya wafuasi wa CHADEMA katika kutafuta ushawishi—kujaribu kuwagawa Watanzania kwa misingi ya tofauti zao.

Ilianza na siasa za ukanda wa Kaskazini, ikaendelea na kauli za kikabila dhidi ya Wasukuma, na sasa tunaona mwelekeo wa kuingiza suala la dini.

Siasa zinapaswa kujenga umoja, si kuchochea migawanyiko ya kikanda, kikabila au kidini. Watanzania wanahitaji hoja na sera zinazowaunganisha, si mbinu za kuwagawa ili kupata ushawishi wa kisiasa.
 
Ameshachelewa sana
 
This is one of the oldest and stupiest version of political mongers and monsters
 
Outdated and barbaric thoughts..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…