kama wewe mwenyewe unayejifahamu vizuri hauna matumainiTuongee ukweli hawa wadogo zetu wa Gen-Z watatupa Tanganyika wanafanya mambo kwa vitendo na mikakati.
View attachment 3658049
Wameanza kujiandaa kabisa na kumiliki nembo za Tanganyika.
Nina matumaini sana na hawa vijana wa Gen-Z.
Hili atafeli ni suala la mudaKuna asilimia kubwa sana ya Muungano kuvunjika baada ya Tanzania kuvuka kipindi hichi kigumuā¦ila pia kuna kila dalili ya Samia kupanga safu mpya na kutumia kila njia ili kuhalalisha kushika madaraka tena baada 2030, kwasasa ni anasafisha njiaā¦ameshaingiwa na uoga wa kutoka madarakani 2030, ni mpaka ajiridhishe ni watanyika gani ndani na nje ya ccm watakaowalinda yeye na familia yake pamoja na maslai yao wakitoka madarakani.
In the matter of fact tunachotaka sasa hivi sio kuvunja muungano.. Hicho kitu hakipo kwakuwa muungano ulishavunjika kitambo.. Umeshikiliwa na uzi mwembamba wa kisiasaHili atafeli ni suala la muda
Ila dalili kuwa muungano kuvunjika au kuwa na Serikali tatu ni kubwa baada ya huyu mama
Maaana hata machawa kama kina nchimbi waliompitichi Samia kwa kuvunja kwanza katiba yao pili katiba ya nchi they have learned the hard way
I think tunapoelekea ni pazuri
Hata ma CCM wameshaona things zikiachwa hivi kuna hatari ya kuwa na civil war along the way
Kama principal citizen anaweza kujiuzulu kwa vi post tu aisee
Kama dogo kama kawaida au yule mmbunge anaweza kumjibu VP kama anavoona inafaa
Kama polepole akaweza kufa kama mbwa mwitu , a senior citizen with preseidential appointment , then unaefikiri upo salama kwa muundo huu ni lazima utakuwa na shida ya Afya akili .
Unawajua waadimu?hao machotara na washirazi hapo ni wa kuja tuSoma vizur kile kisiwa kilikuwa hakiishi watu yalikuwa mapumziko ya wavuvi ndio maana biashara za kwanza zilianza kufanyika kwenye ukanda wa pwani
SahihiIn the matter of fact tunachotaka sasa hivi sio kuvunja muungano.. Hicho kitu hakipo kwakuwa muungano ulishavunjika kitambo.. Umeshikiliwa na uzi mwembamba wa kisiasa
Sasa hivi kilichopo ni fight ya mamlaka kamili ya Tanganyika iliyopokwa na kinachoitwa serikali ya muungano
Abdully na SAMIA watanyongwa mbele ya uwanja wa Taifa kwa madhira waliyofanyia TanganyikaKuna asilimia kubwa sana ya Muungano kuvunjika baada ya Tanzania kuvuka kipindi hichi kigumuā¦ila pia kuna kila dalili ya Samia kupanga safu mpya na kutumia kila njia ili kuhalalisha kushika madaraka tena baada 2030, kwasasa ni anasafisha njiaā¦ameshaingiwa na uoga wa kutoka madarakani 2030, ni mpaka ajiridhishe ni watanyika gani ndani na nje ya ccm watakaowalinda yeye na familia yake pamoja na maslai yao wakitoka madarakani.
Fanya hivyo aisee itakuwa bonge la biasharaNataka niongee na mchina Mmoja tuzitengeneze za kutosha tuuze bei chee ili kila Mtanganyika ajue kuwa tuna Bendera zetu nzuri.
Mkuu soma vizur history ya Zanzibar kile kisiwa watu wake wametoka ukanda wa Africa mashariki Kenya Tanzania somaliaUnawajua waadimu?hao machotara na washirazi hapo ni wa kuja tu
Hivi kosa kubwa la Nchimbi ni lipi?
Hawakutoka somalia walitoka tanganyika na pwani ya kenya,fatilia vizuri historia ya hao waadimuMkuu soma vizur history ya Zanzibar kile kisiwa watu wake wametoka ukanda wa Africa mashariki Kenya Tanzania somalia
hili haliwezakaniWa pwani turudi Zenji ili tuishi na ndugu zetu.
Mtaona sasa ,pona pona yenu muungani ubaki... CCM ikitoka hakuna chama kitaweza kuongoza tena ,tukiamka watu wa pwani si mnaelewa hata mkoloni analitambua hilo..Tumewaangalia tu mnajaribu na kichapo mkapata.hili haliwezakani