Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

Jina hilo lilipatikana kwa kuunganisha,TA kutoka Tanga
NGANI kutoka Pangani
STAHL kutoka Wilhelm-Stahl
Jina likawa TANGANISTAHL ambalo husomeka TANGANYISTA✔✍🏿
Wilhelm katika “Wilhelmstal” alikuwa Kaiser Wilhelm II, yaani Mfalme Wilhelm II wa Ujerumani, si mtu aitwaye “Wilhelm Stahl.” �
Wikipedia +1
Wilhelm = William/Wilhelm, jina la Kaiser Wilhelm II.
Tal katika Wilhelmstal = “valley”/bonde.
Hivyo Wilhelmstal maana yake kwa karibu ni “Bonde la Wilhelm” (William's Valley).
Mji huo ndio Lushoto ya leo. Vyanzo vya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) vinaeleza wazi kwamba uliitwa Wilhelmstal na ukapewa jina la Emperor Wilhelm II. �
Institute of Judicial Administration +1
Utafiti wa kitaaluma kuhusu majina ya maeneo ya kikoloni pia unaitaja Wilhelmstal kama jina la zamani la Lushoto, na kulihusisha na Kaiser Wilhelm II. �
 
Suala hili ni gumu sana kufikia tunapotaka.
Wakubwa wote ndani ya ccm wanalinda maslahi yao.
Unahisi mtu kama kasheku ataasi mipango yao, mtu kama bashing nk? Ikitokea jwtz ikachukua hatua ya kuwatetea watanganyika INAWEZEKAN
 
Nimekulia huko.. Ndio home.. Nakupenda sana Lushoto
 
kwa bahati Mbaya Historia haifundishwi vyema kama Lushoto lazmia wajerumani walifanya tafiti kadhaa ambazo zingepaswa kuwekwa wazi wananchi wazitumie kwa manufaa ya nchi
 
Mimi sipendi hata hizo serikali tatu nataka moja tu au muungano ufe kabisa kila mtu ajitegemee kivyake.
 
Chai
 
Asili ya jina la eneo au kitongoji cha Dochi kilichopo wilaya ya Lushoto mkoani Tanga inatokana na neno la Kijerumani "Deutsch" (linalomaanisha Ujerumani au Kijerumani).

Wakati wa ukoloni wa Wajerumani nchini Tanganyika, walowezi na viongozi wengi walivutiwa na kuweka makazi yao katika milima ya Usambara kutokana na hali yake ya hewa ya ubaridi inayofanana na Ulaya.
Eneo zima la Lushoto lilijulikana kama Wilhelmstal (Bonde la Wilhelm), na maeneo yaliyokaliwa na Wajerumani hawa yalianza kuhusishwa moja kwa moja na utambulisho wao wa kitaifa.Kutokana na changamoto za kilugha, wenyeji wa eneo hilo, hasa Wasambaa, walishindwa kutamka kwa usahihi neno hilo la kigeni "Deutsch".

Katika jitihada za kulitamka kulingana na muundo wa lugha zao za asili, matamshi hayo yalienda yakibadilika taratibu kutoka "Deutsch" na kuwa "Dochi".

Jina hili jipya lilizoeleka haraka na kuanza kutumika rasmi na jamii nzima kutofautisha maeneo yaliyokuwa yakimilikiwa au kukaliwa na wakoloni hao.

Hadi sasa, Dochi imebaki kuwa jina rasmi linalotambulika kama kitongoji muhimu cha biashara na makazi kilichopo ndani ya Kata ya Lushoto mjini.

Jina hili linasimama kama kielelezo cha kihistoria na urithi wa kipekee wa athari za lugha ya Kijerumani katika Milima ya Usambara.

Licha ya kupita kwa miaka mingi tangu kuondoka kwa wakoloni hao, kumbukumbu hiyo imehifadhiwa kupitia jina hili la kijiografia linalotumiwa na vizazi vya sasa.

Hapo ndipo nilipokulia

CC: zumbemkuu Tate Mkuu
 
Ila Kuna Kila dalili za kugeukwa na Mtanganyika yoyote yule akishika hicho kijiti hata huyo VP mpya au Mbunge wa Chuga nimekaa Pale.Waone tu wanapiga makofi pale jumba jeupe inside wanalia sana,Sema wanaogopa ya Polepole.Amini nakuambia hats Riz 1 atawageuka.
 

Unanukia Ubwabwa wa Nazi

Sio kuvunjika Muungano

Muungano wetu utabaki
milele✍️
 
Makao makuu ya kwanza ya Wajerumani katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani yalikuwa Bagamoyo 22b6

Maelezo mafupi:
1. Bagamoyo (1885 – 1890): Hapo ndipo utawala wa Kijerumani ulipoanza. Wajerumani walikodisha ukanda wa pwani kutoka kwa Sultani wa Zanzibar mwaka 1885, na makao makuu ya kwanza ya utawala yakawekwa Bagamoyo. Ndiyo sababu kuna "Old German Boma" huko Bagamoyo iliyojengwa na kutumika kama makao makuu ya utawala.

2. Dar es Salaam (tangu 1890): Baadaye makao makuu yalihamishwa kwenda Dar es Salaam kwa sababu ilikuwa na bandari nzuri zaidi kuliko Bagamoyo. Tangu 1890 hadi mwisho wa utawala wa Wajerumani 1919, Dar es Salaam ndiyo ilikuwa makao makuu rasmi. 42a822b69e43ea7f

Makao makuu ya wajerumani hawajawahi kuweka Tanga, turekebishe hili kwanza.

Tanga=pwani
Nyoka=misitu,pori

Ukitoka kaskazini kule ziwa Victoria Hadi mto Ruvuma

Ukitoka Ziwa Tanganyika mpaka bahari ya Hindi

Ukitoka Ziwa Nyasa mpaka bahari ya Hindi.

Nyingine zote ni hadithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…