permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Sio kweli, jina linatokana na ziwa Tanganyika. Walitaka kuipa majina mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro, ila wakachagua Tanganyika.Ilikua inaitwa Germany east Africa company (GEACO)
History of Tanganyika ( Tanga + nyika)
Nyika= kulikua na ardhi tambarare yenye kuvutia
Tanga=
Kabisa kabisa kabisa kabisa kabisa ππππππππIla idea ya serikali tatu ni ya kipumbavu sana huyo rais wa tatu atakuwa na mamlaka Gani? Kila mtu achukue 50 zake na atawale kwake.
Hivi hii sio AI