Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha Putin ambaye ameiingiwa na uchizi.

Vuguvugu wamelipa jina - Freedom Legion under the new Russian flag (white, blue and white stripes)

main-qimg-cafe09490fffb6676ad4ee9d063a354c-lq

=============================

Surrendering Russian soldiers have switched sides and are now fighting for Ukraine against Vladimir Putin's forces, it is claimed.

Ukrainian officials say a new Freedom of Russia legion has been formed for demoralised troops turning their backs on the Russian invaders.

It comes amid reports of plummeting morale among soldiers fighting the Kremlin's war - with some said to be refusing orders and even shooting down their own planes.

The Russian armed forces personnel have already started training to fight alongside their new comrades, it is claimed.

Pictures purportedly show Russians training alongside their new Ukrainian comrades.

Yesterday the Ukrainian Defence Ministry said on its Telegram channel that commanders have been visiting captured and surrendered Russian troops "in order to select those who wish to serve".

Mwaka huu mtakunya maboga aiseee wamarekani
 
Zele amejua kuninyooshea dictator. Tunahitaji akinaZele wengine huku Afrika watunyoshee madikteta wetu wa huku.
 
Back
Top Bottom