Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

Chai ya rangi kuasi jeshi la Urusi au China unakuwa umeiweka rehani familia kama sio ukoo wako
Kivipi, hii sio kweli kwani wao wana kosa gani. Unataka kutuambia kwenye hizo nchi mtu akikosa halafu akakimbia nchi ndugu zake ndio wanashitakiwa. Hii sio kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom