M mjogoro JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 882 Reaction score 652 Apr 8, 2022 #21 Ushabiki MK254 said: Masaa 24 rais wa Ukraine ameachia uongozi au bado anatamba mtaani na kuwatia adabu Warusi. Click to expand...
Ushabiki MK254 said: Masaa 24 rais wa Ukraine ameachia uongozi au bado anatamba mtaani na kuwatia adabu Warusi. Click to expand...
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Apr 8, 2022 #22 let the caged bird sings said: ndiyo maana wame ficha sura zao. Click to expand... Hizo picha za Azov Unit members affiliated with Bandera Nazi group! I presume. Na yaweza kudhitika.
let the caged bird sings said: ndiyo maana wame ficha sura zao. Click to expand... Hizo picha za Azov Unit members affiliated with Bandera Nazi group! I presume. Na yaweza kudhitika.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Apr 8, 2022 #23 KISIWAGA said: Chai ya rangi kuasi jeshi la Urusi au China unakuwa umeiweka rehani familia kama sio ukoo wako Click to expand... Kivipi, hii sio kweli kwani wao wana kosa gani. Unataka kutuambia kwenye hizo nchi mtu akikosa halafu akakimbia nchi ndugu zake ndio wanashitakiwa. Hii sio kweli kabisa.
KISIWAGA said: Chai ya rangi kuasi jeshi la Urusi au China unakuwa umeiweka rehani familia kama sio ukoo wako Click to expand... Kivipi, hii sio kweli kwani wao wana kosa gani. Unataka kutuambia kwenye hizo nchi mtu akikosa halafu akakimbia nchi ndugu zake ndio wanashitakiwa. Hii sio kweli kabisa.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Apr 8, 2022 #24 Frank Wanjiru said: Mrusi wa Chato unapingana na Mrusi Og wa KremlinView attachment 2180358View attachment 2180359 Click to expand... Hii nayo warusi wa Yombo Vituka watapinga.
Frank Wanjiru said: Mrusi wa Chato unapingana na Mrusi Og wa KremlinView attachment 2180358View attachment 2180359 Click to expand... Hii nayo warusi wa Yombo Vituka watapinga.
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 May 29, 2022 #25 KISIWAGA said: kuasi jeshi la Urusi Click to expand... Kuasi katika kipindi hiki ni HERO, ataishi maishi bora kadri anavyotaka
KISIWAGA said: kuasi jeshi la Urusi Click to expand... Kuasi katika kipindi hiki ni HERO, ataishi maishi bora kadri anavyotaka