hahahahahaha.... mkuu umenichekesha sana leo.
Ila
ahmed rajab kama unasumu yoyote ungeitema tu hapa hadharani maana. Vijana wengi wa kileo wanaumia sana vichwa kwa kutaka kujua ili mwanamke atosheke kabisa na swala la mapenzi kiasi cha kutotamani nje ni anatakiwa asuguliwe sana mpaka ke uwake moto au anatakiwa kuhakikisha mwanamke anafika kileleni ndio atatosheka. Na kama ni kufika kileleni kwa usiku mmoja mwanamke anahitaji kufika kileleni mara ngapi hasa ili kutosheka kabisa? Haya ni maswali yanayowatesa vijana wa dunia ya sasa.