Vuna maji ya mvua

Najaribu kuwaza je, kama ukifunga gutters kisha ukatengeneza underground water storage system kisha ikawa na separate water purification na solar heating system haiwezi kuwa feasible kweli?
Hii ni gharama sana mkuu..
Water purification system pekee si chini ya 6M
 
Water Pump Pekee Inatosha?? Hp 0.5?? Still Mafundi Wengine Wanasema Hata Kama Utatumia Pressure Pump Ni Muhimu Na Lazima Tank Liwe Juu Ili Kupata Pressure Nzuri Ya Maji Ndani.
 
Water Pump Pekee Inatosha?? Hp 0.5?? Still Mafundi Wengine Wanasema Hata Kama Utatumia Pressure Pump Ni Muhimu Na Lazima Tank Liwe Juu Ili Kupata Pressure Nzuri Ya Maji Ndani.
Sasa kama pump haitoshi hilo underground water tank linatoaje maji? Pump pekee inatosha as longer as maji yapo kwenye tank.
 
Haya...Umeshinda
Hamna mkuu, tunaelekezana tu, unajua kuna muda fundi anaweza kukupa concept kutokana na mazingira au kutengeneza faida kwake, so kila kitu kina condition zake, ndomana kule shuleni tukisoma physics tuambiwa other factors remain constant..
 
mkuu na iyo surface water pump bei gani ya 0.5hp
 
Matank makubwa ya umma yanajengwa kwa matofari, je hilo la fungus serikali hailioni kama tatizo au wanadhibiti vipi fungus
Serikali tangu lini ikajari watu? Hayo matank stainless steel ndio yanatumiwa na viwanda kuhifadhi vinywaji kama juice na soda na nu Watanzania wachache sana ndio wana uwezo wa welding ya stainless steel, Wakenya ndio wamekamata soko.
 
Kuna mtu anasema Tanki la zege linatunza fangasi imebidi nicheke tuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…