Vunja Bei anaunga-unga, Simba msimpe mkataba

Nafikiri hana watalaamu wa supply chain and logistics, anaona kama kila mtu ni sagula-sagula. Imagine nilienda moja la duka lake kununua jezi zenye kola nikakuta hawana,lakini kila siku ana post anazo
Vunjabei kabweteka sana sijui na umaarufu au ulimbukeni anajua jezi Zina demand kubwa kwanini asisambaze maduka tofauti tofauti ili iwe rahisi I think ataftwe mtu aliye serious na kazi ya jezi
 
Tumkabidhi timu awe mfadhili Mkuu, ni mzalendo mwenzetu
 
Ile kuuza nguo feki tu zile ilitakiwa kuwa ground ya kumnyima mkataba. Mtu anauza nguo ukifua tu ndani ya wiki haivaliki tena.

Kimsingi jamaa ni fraudulent. Kuna kampuni ndogo zingepewa hii tenda zingefanya vema sana. Nyamaa alivurunda sana aisee alipopewa tenda ya jezi. Watu wanaenda na pesa zao wanakosa eti mzigo umeisha kama sio ufala ni nini sasa?!

Halafu watu wanapenda zile jezi nyeusi yeye akaenda kuprint kwa wingi zile za Manjano ambazo wateja hazijawavutia.

Halafu amekwenda tengeneza size kubwa tu hajui kuna teenagers wenye miili midogo na ndio wateja wa kuwauzia sana hao yeye kaenda tengeneza tshirts za miili ya vibonge wote.
 
Itakuwa walimpendelea. Kwa kigezo cha experience ya miaka kadhaa Vunja Bei asingeshinda. Ana experience ya kuuza mitumba na moka sio jezi high quality

Msimlaumu kafanya kazi kwa uwezo wake. Viongozi mambumbumbu ndio tatizo.
 
Vunjabei kazi yake ni kusambaza, Mo sports kazi yao kupeleka kwa wachina. Ni mtazamo tu.
 
Kasema hawezi? Jezi watu wanapata we kama umekosa changamoto yake isiwe rungu la kumtoa barabarani jumla
Hakuna anayeweza kukufurahisha milele

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tunazungumzia ubora ndugu yangu. Huyo jamaa hawezi kuzalisha jezi bora. Wachezaji wakizivaa wanakuwa kama bush stars.
 
Jamaa apishe tu tenda ichukuliwe na wengine
Miaka 2 ya mkataba wake jezi ni low quality bado usambazaji wake hada kipindi cha msimu kukaribia kuanza huwa ni kero kabisaa
 
Usimuamini mfanya biashara Mkinga kwa mambo yako serious. Hawa watu wana fedha za masharti. Hiyo mikwamo anayoifanyia Simba kama ucheweshaji wa jezi, kutoa quality mbaya na vingine vingi, siyo bure bali ni masharti ya utajiri wa Wakinga.

Mkinga hawezi kufanya biashara bila ushirikina. Naamini wenzangu wanatoka mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya wananielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…