Vunja Bei na Viongozi wa Simba akili zao ni sawa

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
TVISIT TANZANIA

Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo.

Tangazo Muhimu kama hili unakuja na front ya ajabu, hii inaonesha kabisa watu graphics wa Vunja bei ni wabovu kabisa Tvisit Tanzania maana yake ni nini?

Mbaya zaidi viongozi wameona ila wakashindwa kufanya maamuzi dah.

 
Hivi sijui Vunja bei aliwaza nini hadi akavunja na matangazo ya boss
Hizo ni Jezi kwaajili ya Club bingwa, wewe mbumbumbu.

Jezi za nyumbani zitaendelea kuwa na matangazo ya Mo Kama kawaida.

Halafu Utakuwa taahira sana kumtengenanisha Mo na Vunjabei kwenye suala la Jezi.

HAKUNA kitu chenye pesa au Maslahi kinafanyika Simba bila Mo kujua au kubaliki. Na ndio maana Kuna wake wake pale akiwemo CEO Barbara.
 
Hivi sijui Vunja bei aliwaza nini hadi akavunja na matangazo ya boss
Sababu METL hawajahusika kwenye kudhamini mashindano ya Kimataifa, wao wamewekeza kwenye ligi kuu pekee
 
Mkuu umemaanisha nini kuniita mimi mbumbumbu? Kwamba ni mwanachama mwenzio wa timu yenu ya Rage fc ama.
 
TVISIT TANZANIA

Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo...
Kwanza karudia majezi Yale Yale hakuna ubunifu mpya alioweka
 
Front ndo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aina za muonekano wa herufi/maneno
Kwa mfano ๐•ž๐•ฆ๐•”๐•™ ๐•œ๐•Ÿ๐• ๐•จ,๐š–๐šž๐šŒ๐š‘ ๐š”๐š—๐š˜๐š ,๐ฆ๐ฎ๐œ๐ก ๐ค๐ง๐จ๐ฐ,๐’Ž๐’–๐’„๐’‰ ๐’Œ๐’๐’๐’˜,๐“‚๐“Š๐’ธ๐’ฝ ๐“€๐“ƒโ„ด๐“Œ,แตแต˜แถœสฐ แตโฟแต’สท,โ“‚๏ธŽโ“Š๏ธŽโ’ธ๏ธŽโ’ฝ๏ธŽ โ“€๏ธŽโ“ƒ๏ธŽโ“„๏ธŽโ“Œ๏ธŽ,๐”ช๐”ฒ๐” ๐”ฅ ๐”จ๐”ซ๐”ฌ๐”ด,๐–’๐–š๐–ˆ๐– ๐–๐–“๐–”๐–œ,็ˆชใ„ฉๅŒšๅ„ าœๅ‡ ใ„–ๅฑฑ, nk.
NB. Ila nadhni alimaanisha fonts..
 
Ni fonts na sio fronts
 
Hivi ndiyo vitu vya kukosoa sasa na at least ukaonekana mtu una akili siyo tu mtu kujisemea jezi mbaya au maneno mengine ya kejeli.

Nadhani hiyo Visit ingetakiwa isogee kulia na ianzie mstari wa juu wa T unapoishia. Hilo nakubaliana na wewe ila ungeweza sema hilo bila kukejeli watu. Jitahidi siku nyingine maana mtu anaweza kupuuza ushauri wako kwa sababu ya lugha unayotumia.

Font hiyo nadhani ni logo ya "Visit Tanzania" hauwezi kujibadilishia font ya logo unavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ