Vunja Bei na Viongozi wa Simba akili zao ni sawa

Vunja Bei na Viongozi wa Simba akili zao ni sawa

Kama unaweza kusoma hapa
Pumbavu sana
Lakini mbona umeelewa kilichoandikwa ni visit Tanzania sasa unataka kugundua nini zaidi katika hilo neno
Ungetusomea tofauti na tulivyomaanisha tungeelewa tumekosa
EFOKxHlWsAAAJ2I-1.jpg
 
TVISIT TANZANIA

Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo.Tangazo Muhimu kama hili unakuja na front ya ajabu,Hii inaonesha kabisa watu graphics wa Vunja bei ni wabovu kabisa Tvisit Tanzania maana yake ni nini? Mbaya zaidi viongozi wameona ila wakashindwa kufanya maamuzi dah
OKW BOBAN SUNZU kazi unayo
 
Kwamba bora hata hiyo "T" wangeichomeka hivi.. [emoji1427]View attachment 2512888
Duh aisee!

Wenzio wameona tracksuit za Simba wakalinganisha na zile za nyokanyoka wakanywea na huu mjadala ukaishia hapo hapo. Hakuna tena mijadala ya jezi mbovu wala sijui visit tanzania. Wananong'onezana tu huko, "aisee zile tracksuit kaliii"
 
Back
Top Bottom