Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OKW BOBAN SUNZU kazi unayoTVISIT TANZANIA
Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo.Tangazo Muhimu kama hili unakuja na front ya ajabu,Hii inaonesha kabisa watu graphics wa Vunja bei ni wabovu kabisa Tvisit Tanzania maana yake ni nini? Mbaya zaidi viongozi wameona ila wakashindwa kufanya maamuzi dah
Saivi wamefikia wapi maana toka tuambiwe wameipa Yanga siku 3 hatujapata mwendelezo.Sportpesa wenyewe ndiyo wanalalamika
Duh aisee!Kwamba bora hata hiyo "T" wangeichomeka hivi.. [emoji1427]View attachment 2512888