Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Naomba unipe bei za J na A series sumsung ili nifanye uamzi hapa
Za bajet ipi?? Ingekuwa vizuri unambie bajet yako...maana A na J zipo nying, 1 up to 9pro kwa A, na J zipo mpka 7
 
Simu Kali kwa Bei Pouwa!
Vunja Bei: Pata smartphone ya kisasa, original na mpya kwa bei pouwa toka kwa Vunja bei matelephones, wauzaji na wasambazaji maarufu wa Simu za kisasa na original kupitia mitandao kwa bei nafuu kabsa!

Tunafanya free delivery kwa wakazi wa Dar es Salaam, wale wa mikoni na nchi za jirani tunafanya delivery pia. Ukihitaji naletewa ulipo!

Kumbuka tu simu zetu ni mpyaa na vifaa vyake vyote, zina warranty, ukinunua unapewa na risiti, Pia OFFER kwa mwaka huu mpya wa 2017 ukinunua simu yeyote unajipatia free glass protector+ cover na fast charger kwa smartphones zinazosupport.

Kwa maelezo zaidi wasaliana nami kwa: # 0654776976.
# vieloon@gmail.com

Pia unaweza kuangalia baadhi ya bidhaa zetu kwa ku google namba hiyo 0654776976, haraf nenda kwenye images kwa picha zaid.

 
Naomba kujua bei za cm hizi
Xperia z 1
Samsung s5
Samsung Note 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…