Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Capture%2B_2017-01-01-10-12-37-1.png

VunjaBei Matelephones, msambazaji na muuzaji mkuu wa smartphones za kisasa kwa bei pouwa, ninawatakia wateja wangu wote pamoja na wale wanaofuatilia huduma zangu kupitia mitandao ya kijamii hasa humu JF heri na mafanikio mema ya Mwaka Mpya huu 2017.

Pia napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wote tuliokuwa pamoja kwa mwaka 2016, Asanteni sana.
Mwaka huu 2017 tegemeeni ujio wa smartphones kali za kisasa, offer kabambe na punguzo la bei kwa asilimia kubwa.

Asanteni.

0654776976
 
View attachment 452838

nawe pia...

swali langu hujalijibu lakini..
 
Habari mkuu nina iPad 2 mini na huawei P7 nikikuachia hizo devices utanipa simu gani
Tatzo huwa sifanyi xchange na Simu ambazo ni used..rabda tu ungekuwa umezinunua kwangu.

Ila kwa kukusaidia tu mkuu, je hizo ni mpyaa? Na je una risit? Km ndivyo bas nichek 0654776976 na nijue unahitaj cm ipi wewe
 
Back
Top Bottom