Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

We acha udwanz bei yako bado juu sony Xperia z3 sehemu zingine ni 500 na inashuka
 
Ushasema sehemu nyingne!!! Sasa si uende ukanunue mkuu! em
Ngoja nikuulize kwnza, kwa faida ya wana JF wote tuambie hiyo sehemu nyingne ni wapi au pale Sony shop Mliman city??? Au kwa jamaa zako wauzao used, simu za wizi na zile za magumashi???
 
Mkuu hizo ndio bei zake sijaona punguzo hapo ila kila la kheri
 
Ushasema sehemu nyingne!!! Sasa si uende ukanunue mkuu! em
Ngoja nikuulize kwnza, kwa faida ya wana JF wote tuambie hiyo sehemu nyingne ni wapi au pale Sony shop Mliman city??? Au kwa jamaa zako wauzao used, simu za wizi na zile za magumashi???
Naomba bei mkuu
Huawei mate 8
Tecno C9
Tecno C 7
Note 4
 
Back
Top Bottom