Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
Nielekeze duka lenu linaitwaje mi ni mwenyeji hapoHapana tupo Aggrey mkuu...
Nielekeze duka lenu linaitwaje mi ni mwenyeji hapoHapana tupo Aggrey mkuu...
promo...!!Mmmh hizo bei zako na thamani ya cm ata haviendani, labda km unatengeneza mwenyewe.
Tofaut ake nn
Zina tofauti kubwa saana tu..japo kwa mwonekano wa nje sio saana.Tofaut ake nn
Mkuu nitakuja hapo Aggrey kukuona. Hivi ni pale mtaa wa Max Mbwana kama ulivyojulikana zamani?
Kwa nini unakwepa kodi huoni kwamba unaangamiza uchumi wa nchi yako jitahidi kuwa uzalendoKodi nimlipe nani wakati napitisha njia za panya!!na hakuna anaenisaidia...wala aliyenipa mtaji!!!
Nani kasema nakwepa kulipa kod mkuu??...babu yangu mzaa babu alilipa kodi, kafa kabwela, babu nae akalipa kodi, kafa kabwela! babu mzaa baba akalipa kodi, kafa hohe hahe! baba nae kalipa kodi kafa maskini tu, ...hao vigogo hawalipi kodi..wametoboa mpka koo zao zinaishi km peponi????????.......Kwa nini unakwepa kodi huoni kwamba unaangamiza uchumi wa nchi yako jitahidi kuwa uzalendo
Kwa maandishi hayo ngoja niwashitue Tra waanze kukufuatilia maana umeweka na namba zako za simu.
Ili ulazimishwe kulipa kodi,
Kama hutaki kulipa kwa hiari.
mmm370k
BeiHuawei Ascend P8 ipo kiongozi. Kwa walio nje ya Dar huwa nawatumia kwa bus
View attachment 375190View attachment 375191View attachment 375192
Mkuu Vieloon tushindane kisa 30k?Hah hah 380k