Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Unayo dukani kwako au ndio nikija ukaanze kuitafuta?We fund chupi ni noumah, ...njoo faster nikupe Diamond Rose Iphone 4 ya 32GB....bei ni US $ 8 millions
Unayo dukani kwako au ndio nikija ukaanze kuitafuta?We fund chupi ni noumah, ...njoo faster nikupe Diamond Rose Iphone 4 ya 32GB....bei ni US $ 8 millions
Kwa kuwa umesema kweli nami nitakuja kuchukua hapa moja...bei zako si zakutisha mkuu?Kodi nimlipe nani wakati napitisha njia za panya!!na hakuna anaenisaidia...wala aliyenipa mtaji!!!
mi ninayo tecno y3 nilinunua Israel dolar 1800, wewe nitakuuzia dolar 1500 tu.Mimi nataka simu ya bei ghali kuliko zote.
Siangalii ubora... Nnachotaka iwe ya bei ghali tu
Hah hah simi zenu zipo ndugu...kila kwenye maghorofa vibanda havikosi...umetuonea aisee mbona sisi hujatukumbuka.Sisi wa 200K,150K,250k utukumbuke na sisi maan pia ni watanzania.
S 860 unaweza kuwa nayo? Au Lenovo yoyote ile yenye betri ya ukubwa wa at least 4000 mAhLenovo zipo ayseee
Huwa zinakuwa mpya ila tu zinapitishwa kwa magendo yaani bila kulipia kodiKama kweli mzigo unatoka SOUTH AFRICA basi zinakua zimetumika na cyo BRAND NEW.
SONY XPERIA D5322... Tsh ngapi?Nimeshusha bei:
Smartphones za kisasa, Originals tu sasa unapata kwa bei Poa kwang Vunja bei. mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote ni mpyaaa, Original lte na vifaa vyake, na ni Guaranteed.
# bei zangu ni easy kuliko kokote pale Tz.
Mfn:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil
HTC One M8, 32GB @ 500k
HTC Desire Eye, 16GB @600k
HTC One M9, 32GB @750k
Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 16GB @ 650k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover, 32GB @650
Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.2mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil
Samsung S5, 16GB @500k
Samsung S6, 32GB @750k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.3mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.45mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.25mil
Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 750k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
licha ya simu pia nina tablets, ipads na projectors
# Bei maelewano yanaruhusiwa.
#Ukihitaji mzigo unaweza kufika ofisini kwangu Kariakoo au unaweza letewa ulipo.
# kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia au kunitext kwa +255654776976 au [email protected]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi sio balozi mkuu.Sabab South Africa hakuna maduka ya simu mpyaaa?? we ni balozi wa SA tanzania nini?