Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,388
We endeleza mashaka wenzako wanafaidi mvunjiko wa beiNina mashaka hapa ya kupigwa watu
We endeleza mashaka wenzako wanafaidi mvunjiko wa beiNina mashaka hapa ya kupigwa watu
IPhone 7 sasa pesa unapata kwenye ufundi wako wa chupi??Mimi nataka simu ya bei ghali kuliko zote.
Siangalii ubora... Nnachotaka iwe ya bei ghali tu
Arusha duka liko sehemu gani?Arusha kwa sasa ninaye wakala...so hakuna tatzo kwa wakazi wa Arusha
Shukrani sana kiongozi kwa kuwaelimisha hawa ndugu zang humu ambao bado hawana imani...Tupo pamoja sana kaka...japo upo kimyaa saana!Ama kweli mashaka wakati mwingine yana shida sana jamani huyu jamaa mimi ni shahidi kabisa wa bidhaa zake me naishi tukuyu mbeya na nilituma kwake pesa na akanitumia samsung s5 mpyaa tena kwa bei ambayo sikuweza kuamini. Narudia tena kaka Vielon kukushukuru sana aisee mzigo unapiga kazi balaa