Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

samsung s5 mini unayo? bei yake shilling ngapi?
halafu namba tena bei hiyo hiyo samsung s5
 
Mhh kuna walakini s5 laki nne themanini ilihali pale mliman city na quality center ni milion moja na laki tatu :I don't believe your phone zitakua na ulakini mkubwa
 
Mkuu nna HTC sensation naitafutia betri mpya inapatikana kwako?
 
Habari Wakuu, mzigo mpyaa umeingia. Pia Aksanteni sana wateja wangu hasa wa mikoani ambao tupo pamoja mpaka sasa, na mnaonisapoti Vunja Bei kwa kununua bidhaa zangu za smartphones na zaid kwa kuniunganisha na wateja wengine, nawashukuru saana....tupo pamoja! Pia ile offer ya glass protector imerudi tena, kwa wateja wangu wote watakaonunua cm kwangu msimu huu watajipatia glass protector au cover au vyote kwa pamoja bure kabsa.

Karibuni saana ndugu.

laptop vipi unazo? nahitaji mashine ya kukatia line (simcard) unazo?
 
Mhh kuna walakini s5 laki nne themanini ilihali pale mliman city na quality center ni milion moja na laki tatu :I don't believe your phone zitakua na ulakini mkubwa
Wanunuaji wa mlimani city ni wale wanaojidai wana pesa au wrnye kupenda kujionyesha
 
mkuu mwanza hakuna wakala? nahitaji ipad.
Kwa bahat mbaya sina mwanza wakala , ila nafikiria kufanya mppango wa kuwa na mawakala wa aminifu kila mkoa.
Ila kwa sasa watu wa mikoni huwa tunafanya biashara kwa mtandao then mzigo anatumiwa kwa bus na inafika salama salimini
 
samsung s5 mini unayo? bei yake shilling ngapi?
halafu namba tena bei hiyo hiyo samsung s5
Samsung s5 min ipo nauza 350k, haraf s5 kubwa yenye 4G lte nauza 480k..
1475819315660.jpg
 
Techno c8 na c9 bei gani?? Jibu fasta kabla sijagaili
 
Mhh kuna walakini s5 laki nne themanini ilihali pale mliman city na quality center ni milion moja na laki tatu :I don't believe your phone zitakua na ulakini mkubwa
WEWE WASEMA!!! ila trust me hakuna kokote duniani kwa sasa wanapouza Samsung S5 kwa hata milioni, acha upotoshaji, Mcity wanauza S5 kwa laki 7, na sio zenye 4G km zangu...pale wanakuuzia mshamba c unaenda kushangaa shangaa mataa plus kiyoyozi.

Mfno mzuri ni kuwa raba inayouzwa kariakoo 15 elf ukiikuta mliman ile ile utaambiwa 60 elf na hakuna kulialia, c umejifanya upo swafi..wenzako wanafidia kod za pango na TRA.

WAJINGA NDIO...........

Mimi Baadhi ya S5 zangu hizo hapo, jibanebane Mkuu uje uchukue Moja au umezoea kuibiwa mliman city? Njoo uchukue moja..then ukija kuongea humu uongee vitu una uhakika, sio kukurupuka kwa kudhani, wakat hata S5 yenyewe huijui umezoea tecno..kalia hivyo hivyo wenzio wanafaidi.
Hakuna hata mmoja aliyenunua simu kwangu utasikia kalalamika, au kaja humu kulaumu.
1475819845270.jpg
1475819932249.jpg
1475819945324.jpg
1475820021171.jpg
 
Mkuu nna HTC sensation naitafutia betri mpya inapatikana kwako?
Mimi sina chief, ila fanya kunichek hewani then nitajaribu kukuulizia af nitakupa jibu...0654776976
 
Mkuu simu zako ni og 100% au ndio zile zakizushi..?
Ni OG mkuu, zaid ya 100% na ndio maana ninafanya biashara sana na waheshimiwa humu ila hujawahi sikia mtu kaja na uzi wa kunilaumu, au kulalamika juu ya biashara yangu.
Karibu saana...utafurahi mwenyewe
 
Back
Top Bottom