Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

latest Blackberry Passport Silver edition.
LTE 4G network, 32GB storage, RAM 3GB

NB: comes with all accessories + free back cover!

Price 650k Negotiable
Contact: 0654776976.
 
Hizi bei zako mbona ziko juu sana mungu anakuona kwa kuwatapeli watanzania eti vunja bei tena kuna sehemu nyingi wanauza pungufu ya hizo bei zako

My take watanzania tusiwe waongo waongo kwa sababu watz ni ignorant ninge appreciate kama tu ungetangaza bidhaa zako haikuwa lazima useme unavunja bei mfano hiyo samsung note 4 700k si ndo bei yake mpaka kwenye showrooms za samsung
 
Zote ni OG more than 100% na ukinunua hata moja kwa ubora wake utakuwa mteja wangu daima..trust me!

JE, UNATOA GURANTEE YA MUDA GANI? KITU KINGINE, TUTAJUAJE KAMA NI MPYA KWELI AU ZIMEKUEA REFURBLISHED HII KITU INAFANYIKA SANA HUKO MERIKANI, ULAYA NA MASHARIKI YA MBALI LAKINI WANAKUWA WAKWELI NA KUSEMA KWAMBA ZIMEFANYIWA FACELIFT NDIYO MAANA BEI ZIKO CHINI, JE TUNAJUAJE KAMA SOUTH AFRICA WANANUNUA SIMU HIZO KUTOKA HUKO NA KUWAUZIA WASWAHILI.
 
Wapi wanauza pungufu? Sasa c uwaelekeze ..acha kudanganya au unataka ukawauzie used zako na refurbished?? Hiv wewe hata Bei ya note 3 original unaijua? Au umezoea simu zako za magumashi copy za China..acha uzushi na Fanya yako acha kuwa hater haitakusaidia!
Wanao nunua kwangu sio wajinga wanaona utofauti na wanajua kipi bora, Na ndio maana hujawahi sikia mteja akinipigia kelele kulalamika.
So do your thing Mkuu, wengine majunja ujanja hatujazoea...and if you are hater keep on hating!
 
Mi Nina iPhone 6plus nimeitumia zaid ya mwaka bt nimeitunza iko vizuri,msema kweli mpenzi wa mungu,nikikuachia utanipa iPhone 7!?hata kwa kuongeza heal!?
 
Ungesema ukweli mkuu kwan ungepungukiwa nini tatizo la Tanzania bwana kwa taarifa yako nazijya sana hizo simu na wakinifata PM fine nitawaelekeza ila tuwe tu wakweli ndo ninachozungumzia hapa.
 
2yr warrant, ndio mana nimetangaza ni original, kama hujui kuangalia km simu ni OG nitakuelekeza... Au waulizie TCRA si wapo mkuu watakuelimisha tu.
 
Ungesema ukweli mkuu kwan ungepungukiwa nini tatizo la Tanzania bwana kwa taarifa yako nazijya sana hizo simu na wakinifata PM fine nitawaelekeza ila tuwe tu wakweli ndo ninachozungumzia hapa.
Hah Hah biashara zako haziendi Mkuu??? naona sasa unahamia kwa zangu...haya subiri wakufuate PM huko...Watanzania tunashida sana, Kah!!
 
Mi Nina iPhone 6plus nimeitumia zaid ya mwaka bt nimeitunza iko vizuri,msema kweli mpenzi wa mungu,nikikuachia utanipa iPhone 7!?hata kwa kuongeza heal!?
Tatzo chief sifanyi Xchange...Rabda km simu hiyo yako ungekuwa umeinunua kwng then ndio unahitaji xchange. Naamin umenipata ndugu
 
latest Blackberry Passport Silver edition.
LTE 4G network, 32GB storage, RAM 3GB

NB: comes with all accessories + free back cover!

Price 650k Negotiable
Contact: 0654776976.
 
Hah Hah biashara zako haziendi Mkuu??? naona sasa unahamia kwa zangu...haya subiri wakufuate PM huko...Watanzania tunashida sana, Kah!!
Mi ni medical student so sifanyi biashaa but at the same time nafahamu naongea nini
 
Mm natafuta LED&TOUCH ya Galaxy J7 (2015) kama unayo ni bei gani.
 
2yr warrant, ndio mana nimetangaza ni original, kama hujui kuangalia km simu ni OG nitakuelekeza... Au waulizie TCRA si wapo mkuu watakuelimisha tu.

MKUU TCRA WANA CODE YA KUCHECK KAMA SIMU NI FAKE AU ORIGINAL, HAWANA UWEZO WA KUJUA KAMA SIMU NI MPYA AU IMEKWISHA TUMIKA.
 
Ushasema sehemu nyingne!!! Sasa si uende ukanunue mkuu! em
Ngoja nikuulize kwnza, kwa faida ya wana JF wote tuambie hiyo sehemu nyingne ni wapi au pale Sony shop Mliman city??? Au kwa jamaa zako wauzao used, simu za wizi na zile za magumashi???
Ndugu kuwa na lugha ya customer care mbone hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndugu kuwa na lugha ya customer care mbone hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulitaka ajibiwe vip? Au ulitka nimpe jibu la kweli au si kweli, mkuu jibu huja kutokana na swali..hakuna tusi wala lugha chafu.

By the way Mimi huwa sipend kupinda pinda. So naamini mwenyewe alielewa au wewe ulitaka nimjibu vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…