Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Ndio maana naitwa Vunja bei...cm nauza bei rahis...au wewe ushazoea kupigwa bei kuubwaaa na wahindi ndio ujue kitu ni chenyewe original?? Bei zangu ni pouwa tu ili maisha yaendelee..siuzii tamaa mie
Ni second hand au ni mpya kabisa?
Una HTC ONE ya laini mbili?
 
nakuja dar mwezi ujao mwanzon,nitakuja kuchukua note 4 mkuu
 
Unasimu yeyote yenye nembo ya "at&t" ila iwe Nokia ama Samsung
 
UNAZO AMBAZO ZIPO SEALED KABISA HAZIJAFUNGULIWA KWENYE BOX LILILOZUNGUSHIWA NYLON.
 
Mkuu,projector ya bei mdogo sana unayo???na price yake ??
 
Nina tablet yngu LG V909 imekufa battery, nawezapata? Na price yke ni hw much? Npo seriuos aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…