Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ???????
 
Bei ya HTC 10, LG G5, Mate 9, Xperia Z3+ please. Je, Xperia XZ Premium zimeshatoka?
htc M10 bei lak 9 na 50, Mate 9 bei 1.2mil, Sony xperia z3+ bei lak 6 na nusu.

sony xperia xz premium mimi sijawa nayo
 
Kiongozi hizo sio zile 14days za dubai ? Housing inangaa ndani kuna looping.
soma matangazo yangu vizuri mkuu..simu zangu nachukulia South Africa na wala sio China au Dubai
 
brand new
original Samsung Digiral camrecorder
20x digital zoom
full HD
video recorder & still pics

price: lak 2 na 50 tu
0654776976
 
mkuu me nilikuwa na shda na display ya Samsung J7 used naweza pata?au kama kuna mtu yyte hko unaemuamin naomba uniambie
 
Ndigu yangu naona umenikaushia kabisa whatsapp.. Nilikuomba i phone 5s kwa 450k ukasema haiwezekani .. Nikakomaa nikatafuta 470k.. Nayo tena unakataa umekomaa na 480k?

Pamoja na kuwa nilifanya kukuomba ila umenikazia.. Nifikirie tena member wako 5s kwa 470k
 
Na mimi naitaka. Omba mbili bathiii
 
Na mimi naitaka hiyo iphone 5s,omba mbili bathii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…