mkuu kwema?Kwa bahat mbaya sina mwanza wakala , ila nafikiria kufanya mppango wa kuwa na mawakala wa aminifu kila mkoa.
Ila kwa sasa watu wa mikoni huwa tunafanya biashara kwa mtandao then mzigo anatumiwa kwa bus na inafika salama salimini
Mkuu alkubal niko mwanza nahitaji sana mali na ntakuletea wateja kila kuchwaomkuu kwema?
naomba kuwa wakala wako wa kanda ya ziwa nzima!
tupanue biashara mkuu na huku pia!
Tutashirikiana katika marketing and sales in general!
Naja PM tuongee zaidi na zaidi tushike soko la ziwa victoria!
haina tatzo wakuu, biashara ni network, tuwasiliane kwa 0654776976.mkuu kwema?
naomba kuwa wakala wako wa kanda ya ziwa nzima!
tupanue biashara mkuu na huku pia!
Tutashirikiana katika marketing and sales in general!
Naja PM tuongee zaidi na zaidi tushike soko la ziwa victoria!
Mkuu alkubal niko mwanza nahitaji sana mali na ntakuletea wateja kila kuchwao
Mkuu unaniangusha ssa huku posta nimewakimbia 720k, wwe unanipiga 700k??ipo original kabsa, jet black unapata kwa 700k
![]()
![]()
Kk ina bai gn hiiused Samsung Galaxy note 5 kwa bei chee:
hii nilikuwa natumia mwenyewe, sasa naiuza kwa bei powa!
camera ni 16MP
storage ni 32GB
network ni 4G LTE
haina tatzo wala ubovu wowote zaid zaid mikwaruzo kidogo.
Bei ni 650k ( lak 6 na 50)
contacts 0654776976
![]()
![]()
![]()
Ukikijibiwa,nisitue na mie maana nahitaji pia.Mkuu natafuta iPad Au tablet yoyote Ambayo ndio cheapest Ni tsh ngapi?
Ntakucheck kiongoziunaweza pata hata kwa 150 za tecno...ila sasa sio bora, ungejipanga walau uwe na 350 upate litu bora
Nina laki 1 kamili nataka tecno w4 naweza kupata?haina tatzo wakuu, biashara ni network, tuwasiliane kwa 0654776976.
Ikipatikana tecno w4 kwa laki 1 kamili nicheki 0756889929.hah hah hah