vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,707
- 1,417
Ok thanks.. kuna mtu niampa mawasiliano yakoelf kumi na nane mkuu...k manake elfu
Ok thanks.. kuna mtu niampa mawasiliano yakoelf kumi na nane mkuu...k manake elfu
Bei yake ilikua ngapizmeisha
Accessories zake zipo??simu kali na latest Sony Xperia XZ
unapata kwa bei poa..
camera 23MP mbele, 13MP nyuma.
storage ya ndani, 64GB na unaweza weka memory card hadi ya 256GB
Machine yake ni Quad-core (2x2.15 GHz Kryo & 2x1.6 GHz Kryo)
fingerprint lock, duo camera.. etc
bei chee: 750k
contacts: 0654776976
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu unayo macover ya Sony xperia z au mfuniko wa nyuma(rangi) nyeupe originAl?? Bei yako ikoje?
Amani mkuu,kioo cha juu bila touch yake wauzaje , na pia housing yake? (hTc one e9+ dual sim)zipo chief
Tayar chief. Asanthenadhan tulishawasiliana mkuu..c ndio?
mkuu najua kimechokupa wasiwasi ni jinsi bei yake ilivyo rahis sana. ndio maana naiywa vunja bei.Accessories zake zipo??
Haina tatizo lolote?
Nipe bei ya Huawei Mate 9mkuu najua kimechokupa wasiwasi ni jinsi bei yake ilivyo rahis sana. ndio maana naiywa vunja bei.
simu imenyooka hiyo na kila kitu chake unapata chief, siuzi mali zenye matatzo..hivyo km ingekuwa na tatzo usingeiona hapa kwenye ubao wa matangazo ikiuzwa.
mzigo upo safi...ni swala la atakaye iwahi tu.
1M nikuletee mahelanauza 1.1mil
mkuu, hiyo offer nimekupa mie, hupati hata kwa 1.2mil ukienda kokote kwngine rabda iwe used au yenye tatzo, nimekupa bei ya kiundugu saana yaani...km unaihitaji kweli na unajua thaman ya hiyo mate 9 ungekuwa okay kutoa hata 1.6mil nakuendelea1M nikuletee mahela
mkuu, hiyo offer nimekupa mie, hupati hata kwa 1.2mil ukienda kokote kwngine rabda iwe used au yenye tatzo, nimekupa bei ya kiundugu saana yaani...km unaihitaji kweli na unajua thaman ya hiyo mate 9 ungekuwa okay kutoa hata 1.6mil nakuendelea
yaah...zipo, na zimebak gold na sliverBiashara maelewano mkuu, nimenunua moja last month kwa 1.2M sealed kabisa , with warranty...with warranty. Mama yangu simu anayotumia anasema inakula sana chaji hivo ameipenda hii mke wangu anaisifia kwa hiyo amenikomalia nimnunulie. Wacha nijikongoje nitafute hiyo laki mkuu. Gold unayo?