kiongozi, blackberry classic ipo nauza 450k, Q5 sina ila q10 pia zipo nauza 350k.simu zote ni mpyaa na unapata na kila kitu chake..Mkuu, vipi naweza kupata mojawapo kati ya hizi simu, Blackberry classic au blackberry Q5 au blackberry Q10, kama unaweza kupata niambie na bei zake
Hyo 5s unauza bei gannahitaji iphone 6s natoa pamoja na iphone 5s
Hahahaaa mkuu umenivunja mbavu kwenye huto tumaneno tuwili twa mwisho. Any way K maana yake laki thus 550k sawa na laki tano na nusu. Ndo uelewa wangu550k NI shs ngapi wengine mjini hapa tuna xmass Moja!
Huya jamaa awali nilidhani tapeli lakini mwaka jana mwezi wa saba aliniuzia sam S5 kwa laki 550 tena LTE. Na ndo nnayo itumia kukujibu wewe sijapata nayo usumbufu hata chembe zaidi ya uzembe wangu wa kuidondosha.Hyo 5s unauza bei gan
Yes ndio mimi, thanks bosszipo mkuu, naamin wewe ndiye uliyewasiliana nasi jana kwa simu...si ndio? km ndiye bas ndio km vile...utafurahi mwenyewe
OK. poamkuu hiyo bei inanibana saana, ningekupa