Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 2,103
- 1,419
K for 0,000K ndo fedha gan hii wakuu?
K for 0,000K ndo fedha gan hii wakuu?
heh hehe ushauziwa sabuni nini??? karikaoo haihitaji papara wala ujuaji mkuu..mi ukishataja kariakoo tu,hamu inaisha
Mkuu nipe bei za LG2 na LG3p9 inauzwa 1.3mil, mimi huwa nauza 750k tu na mate 8 inauzwa 1.4mil mimi huwa nauza 800k
sijauziwa hata sabuni mkuu mi na kariakoo tofauti kabisaheh hehe ushauziwa sabuni nini??? karikaoo haihitaji papara wala ujuaji mkuu..
ila wakongwe tupo na tunaendelea kutoa huduma sitahiki na wateja wanafurahi na kurud tena kila wanapohitaji bila shida yoyote.
we kwako maeneo yapi au QC na M city pale boss?? sema sisi kkoo ni office na ndio 90% ya wateja wetu ni wa level zile..ila tunafanya free delivery popote..so km ukipita pita maduka ya mcity pale ukapigwa kiyoyozi af mwisho wa siku bei ikawa juu ukaona kuliko kumaliza milioni yako yote kwa simu ya lak 8, unaweza kunipigia nikakulete same device kwa lak kadhaa tu..ukajipatia smartphone maridad kwa bei chee huku ukinyonya juice ya elf 5 taratiiibu pale samak x2, tena ukabakiza na chenchi za kupelekea zawad home...sijauziwa hata sabuni mkuu mi na kariakoo tofauti kabisa
K= kiloinamaanisha k mkuu...
Touch ya s6 flat nauli yake ngapi mkuuzipo chief